Shule ya binafsi mchepuo wa Kiswahili

Shule ya binafsi mchepuo wa Kiswahili

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Wakuu Mimi Nina mtoto wangu anakaribia kuanza Shule...Nilikuwa napendelea asome Shule ya binafsi ya msingi yenye matumizi ya lugha ya kiswahili, maana naona Shule nyingi ni lugha ya kingeleza..je kuna Shule ya kiswahili unayoifaham?
 
Fika Mbezi mwisho, kanisa la Roman C, Pale kuna shule ya mchepuo wa Kiswahili darasa la kwanza mpaka la saba
 
Hehe wewe huabudu kimalikia mkuu? Angalia mwanao asije akawa nje ya silabasi!
 
nonsense, mleta mada amataka kufahamu shule ya private mchepuo wa Kiswahili na si dini Fulani. Hivo am doubting your level of reasoning
 
PIA NJOMBE/MAKAMBAKO KUNA SHULE SHULE YA BOARDING YA KISWAHILI(I-VII).. YA MASISTA...PIA HATA TOSAMAGANGA PALE IRINGA ILIKUWEPO.
 
CORRADINI PRIMARY SCHOOL
iko Morogoro, Kihonda Barabara Ya Kwenda Veta Kihonda.
Nzuri Sana Ina Misingi Ya Kikatoliki Na Inasimamiwa Na Masista Wa Kolejina
 
OK nimekupata
 
Hehe wewe huabudu kimalikia mkuu? Angalia mwanao asije akawa nje ya silabasi!
Mkuu, kingereza ni lugha kama kilivyo kiswahili so ni lazima tuwajengee watoto kujiamini na chao
 
Kujiamini ni kuwa na pesa tu mkuu, na pesa pia muda mwingine zinaabudu kimalikia
 
Mkuu, kingereza ni lugha kama kilivyo kiswahili so ni lazima tuwajengee watoto kujiamini na chao
Usishangae hata usahili wa kuwapata wataalamu na wabobezi wa kiswahili ikafanyika kwa kiingereza ni kwa sababu inaitwa lugha ya biashara kwa hiyo kuwa nayo ni muhimu hata kama ni mkulima kama mimi
 
Haimaanishi kusoma Shule ya mchepuo Wa kiswahili hakutakuwa na somo la English..sisi tulisoma Shule hizohizo za kiswahili tunakua english
 
Wakuu Mimi Nina mtoto wangu anakaribia kuanza Shule...Nilikuwa napendelea asome Shule ya binafsi ya msingi yenye matumizi ya lugha ya kiswahili, maana naona Shule nyingi ni lugha ya kingeleza..je kuna Shule ya kiswahili unayoifaham?
[quote uid=364666 name="daudthefarmer" post=22095764]Usishangae hata usahili wa kuwapata wataalamu na wabobezi wa kiswahili ikafanyika kwa kiingereza ni kwa sababu inaitwa lugha ya biashara kwa hiyo kuwa nayo ni muhimu hata kama ni mkulima kama mimi[/QUOTE]<br />Haimaanishi kusoma Shule ya mchepuo Wa kiswahili hakutakuwa na somo la English..sisi tulisoma Shule hizohizo za kiswahili tunakua english

Naona unajikanganya mkuu. Anyway ngoja iwe ivo.
 
[quote uid=364666 name="daudthefarmer" post=22095764]Usishangae hata usahili wa kuwapata wataalamu na wabobezi wa kiswahili ikafanyika kwa kiingereza ni kwa sababu inaitwa lugha ya biashara kwa hiyo kuwa nayo ni muhimu hata kama ni mkulima kama mimi
<br />Haimaanishi kusoma Shule ya mchepuo Wa kiswahili hakutakuwa na somo la English..sisi tulisoma Shule hizohizo za kiswahili tunakua english

Naona unajikanganya mkuu. Anyway ngoja iwe ivo.[/QUOTE]
We mburula kweli, kwani Shule za kayumba hazina somo la kingelza? Au Hata za binafsi za kiswahili, hawana hilo somo?
 
<br />Haimaanishi kusoma Shule ya mchepuo Wa kiswahili hakutakuwa na somo la English..sisi tulisoma Shule hizohizo za kiswahili tunakua english

Naona unajikanganya mkuu. Anyway ngoja iwe ivo.
We mburula kweli, kwani Shule za kayumba hazina somo la kingelza? Au Hata za binafsi za kiswahili, hawana hilo somo?[/QUOTE]
Mbona una hasira ivo, au ulichokiomba ndo umekisahau mkuu. Jaribu kuwa na hekima unapokuwa unatoa hoja. Matusi na kejeri si sehemu ya mjadala na ufumbuzi wa suala lako.

Nashukuru mkuu maana binadamu ndo tulivyo.
 
Back
Top Bottom