N ngawia JF-Expert Member Feb 11, 2014 767 786 Feb 22, 2016 #1 Wakuu naomba unijuze shule gani ndugu yangu anaweza kurudia mtihani nataka aanzie form 3 manake ila atafanya mtihani kama PC.
Wakuu naomba unijuze shule gani ndugu yangu anaweza kurudia mtihani nataka aanzie form 3 manake ila atafanya mtihani kama PC.
Hansy wa East JF-Expert Member Jul 8, 2012 447 231 Feb 22, 2016 #2 Mkuu bora ukatafte namba upya form two mwaka mmoja sio issue kufanya kama pc ni kamari ile
Anicet mchomvu Member Apr 18, 2012 95 213 Feb 23, 2016 #3 Kuna shule moja uku Manyara ipo vizuri sana pc wake wanatoka balaa
Mapondo Mapoka JF-Expert Member Feb 10, 2015 269 121 Feb 23, 2016 #4 shule ni moja tu, Umoja secondary iliyopo Igunga Tabora,nilisoma pale level zote, s0631 tazama matokeo ya resisters ujiridhishe.
shule ni moja tu, Umoja secondary iliyopo Igunga Tabora,nilisoma pale level zote, s0631 tazama matokeo ya resisters ujiridhishe.