Naomba niwasemee watoto wetu wanaosoma shule ya sekondari Bunazi iliyopo mkoani Kagera , Hii shule toka muhula huu uanze wanafunzi wanaosoma masomo ya lugha haswa Kifaransa hawajawahi kufundishwa matokeo yake wanajisomea wenyewe. Je, mwaka huu wa mwisho watafanya vipi mitihani yao?
Hapa naongelea wale wa kidato cha tano na sita. Naiomba Serikali ifuatilie hili ni tatizo.
Nawasilisha.