Wana Bodi Amani ya Bwana iwe Nanyi,
Natafuta shule ya dogo aliyezaliwa mwaka 2000 ambaye ni mjeuri, aliacha shule hajui kusoma wala kuandika [emoji10],
sasa kakumbuka shule.
Mwenye kujua shule nzuri ya Kulala huko huko ya jamii ya watoto hawa naomba anisaidie
niko Arusha.