Asante mkuu vipi na nyumba maeneo hayo naweza kupata karibu na shule?Abert iko maeneo ya masai ina kindergarten hadi kidato cha nne, nyingine ni Lake schools iko maeneo ya Manguanjuki karibu na lile ziwa kama unaenda Mwanza.
.
Nayo ina kindergarten hadi kidato cha sita
Habari za mda huu wana jamvi samahani naulizia ni shule gan nzuri za primary English medium singida. Nimepata uhamisho huko na maisha kiujumla nataka kufahamu. Asanteni sana.
Singida Kuna Ziwa!!??Abert iko maeneo ya masai ina kindergarten hadi kidato cha nne, nyingine ni Lake schools iko maeneo ya Manguanjuki karibu na lile ziwa kama unaenda Mwanza.
.
Nayo ina kindergarten hadi kidato cha sita
Singida Kuna Ziwa!!??
Si ni malambo tu yale..Yes mkuu Singida kuna maziwa (sio tu ziwa). Mie nayafahamu mawili Ziwa Kindai na Ziwa Singidani
Limepewa hadhi ya ziwa buda sio bwawa lileSingida Kuna Ziwa!!??
Ni makubwa sanaa hasa lile la Singidani limeenda mbali sana malambo hayako vile alafu niliona uvunaji wa chumvi na uvuvi unafanyika pale halina tofauti na ziwa manyaraSi ni malambo tu yale
Inawezekana ila sio karibu sanaa kuna eneo linaitwa Airport ndio kuna nyumba nzuri na liko karibu na hiyo Abert ila ni lazima awe anaenda na bus la shuleAsante mkuu vipi na nyumba maeneo hayo naweza kupata karibu na shule?