Dahhh!!🤣🤣Kama kipato kimeongezeka ongeza mke wa pili uzae naye watoto hata wanne tu.
Riziki inakuja kutokana na ukubwa wa familia...
Kataa ndoa na Chaputa watakuja kupinga na hili ,subiri waje kutoa mapovu...Kama kipato kimeongezeka ongeza mke wa pili uzae naye watoto hata wanne tu...
tatizo hili hapafamilia
Duu naomba nisiongee kitu Mana mitizamo yetu iko tofauti. Ila nashukuru kwa ushauri wako pia. Barikiwa nawewe nakuombea mazuri Kama ndio ndoto zako zitimieKama kipato kimeongezeka ongeza mke wa pili uzae naye watoto hata wanne tu.
Riziki inakuja kutokana na ukubwa wa familia...
mbona makasiriko, this is too much.Kama kesho ukisaidiwa,tafadhali usirudi kushukuru humu....
Nenda kawasimulie wenzio juu ya wema uliokutana nao humu...
Sio unajaza seva humu kwa post za asante
Achana nae mkuu, watu humu wana shida nyingi unajifunza tu kuwapotezea maana hawana athari.Duu naomba nisiongee kitu Mana mitizamo yetu iko tofauti. Ila nashukuru kwa ushauri wako pia. Barikiwa nawewe nakuombea mazuri Kama ndio ndoto zako zitimie