Haya ndo mapenzi ya mama mama kamza mtoto na kumlea kwa shida na raha leo ni zamu ya mtoto wake kumlea mama lakini njoo hapa bongo ni uchawi na ushirikina na kila kukicha magazeti utayasikia mambo ya kuhuzunisha na kusikitisha juu ya vitendo vya kina mama wa vikongwe mungu atusitiri na uwovu huo