Shuka za cotton kubwa size 8*8

Shuka za cotton kubwa size 8*8

mwipande

Member
Joined
Jun 13, 2014
Posts
57
Reaction score
13
Tunauza shuka za cotton kubwa sn 8*8,shuka moja na foronya mbili jumla na rejareja.Jumla 18,000 na rejareja 20,000 tu
 

Attachments

  • 1429025469311.jpg
    1429025469311.jpg
    87.4 KB · Views: 400
  • 1429025507564.jpg
    1429025507564.jpg
    65.7 KB · Views: 379
mnapatikana wapi? na mawasiliano yenu yako wapi?
 
mjomba weka na details kamili, mfano mnapatikana wapi na mawasiliano kwa upana zaidi na grade zake.
 
Nahitaji nitakupataje ?Nitakuwepo dar tar 27/4 nitakupata wapi nazihitaji sana.
 
Tunapatikana sinza mgabe.Mawasiliano 0717373037 wasap or call.Weka oda yko
 
Napenda sana wajasiliamali kwa kuchangamkia fursa, macho ya fursa uhai wa uchumi wa Taifa
 
Hizi kubwa za 8*8 na 9*10 ni shuka mpya.Za mtumba zipo 6*6,5*6,7*6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom