Shujaa amelala, ametuacha imara

mlishaomba kifo tuachen wenyewe na msiba wetu.mkae mkijua tuna utamadun wetu watanzania
Unao uhakika yeye mwenyewe utamaduni wenu huo aliuthamini?

Nisionekane nakufuatilia hapa, lakini imenibidi nisome michango yako hapa kujua unaposimamia. Sikuwahi kukusoma popote, na sidhani kama nitajibishana nawe tena.
 
Nasikia wanatafakari kuahirisha mazishi ili iwe Ijumaa ijayo waendelee kutumbua fedha za umma kwa kuzungusha mwili wa mwenzao kama maandazi ya jana vile yaliyonunulika.
Sipati picha hamna hata pakukimbilia yaani, unaweza hadi chukua, kamba, the hero of Africa has gone.
Bendera za UN zitakua nusu mlingoti
 
kama Maandazi yasiyonunulika. Ni kuzungusha mtaani kwa kwenda mbele.
Sipati picha hamna hata pakukimbilia yaani, unaweza hadi chukua, kamba, the hero of Africa has gone.
Bendera za UN zitakua nusu mlingoti
 
Embu mzikeni bana ..tujenge nchi na watu waanze kutema Cheche sasa, tuoneshe ngozi ya chui
 
Usimshuhudie MUNGU uongo, ni lini uliwasikia malaika wakishauriana na MUNGU??
Ndugu yangu, fahamu kwamba MUNGU hadhihakiwi, shauri yako
 
Sipati picha hamna hata pakukimbilia yaani, unaweza hadi chukua, kamba, the hero of Africa has gone.
Bendera za UN zitakua nusu mlingoti
Zikishakuwa nusu mlingoti halafu nini kitafuata baada ya hapo?
 
Mobutu alipolala walichinja Tembo ishirini na maombelezo mwezi mzima huku vibloga uchwara vikiiisifia mifupa mwaka mzima

Kilichofutikwa ni uvundo
 
eti kujua senti ya nchi ipo wapi na kuipangia matumizi. Hiyo haikuwa kazi yake bali ubabe. Bajeti zinapangwa na wizara kisha kuoitishwa na bunge.
 
Lita moja ya mafuta jana nimeulizia 5500...lita tano ni 29000...kutoka 3000 kwenda 5500 jamani ....
 
Kuanzia kesho tarehe 26/03/2021, MATAGA mtaishi maisha magumu sana. Muanze mapema kujifunza maisha ya kujitegemea na kula kwa jasho kama sisi wenzenu.

Huko mnako elekea sidhani kama hamtakufa njaa iwapo mtaendelea kuishi kwa kutegemea unafiki, mapambio, ngonjera, uchumia tumbo, nk.
 
subiri vikao vya Gamboshi vimalizike hakika mtaomba ardhi iwafunike mjifiche ila itawakana.
 
subiri vikao vya Gamboshi vimalizike hakika mtaomba ardhi iwafunike mjifiche ila itawakana.
Ukishakufa ndiyo basi tena! Hakuna cha vikao wala nini. Hatimae siku tuliyo ingojea imewadia. Kesho ndiyo kesho!
 
Huyu Magufuli Mungu asingemchukua tungeamka asubuhi moja tukakuta umejisimika na kujivisha utemi na ukuu wa ajabu kama hivi👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…