Shughuru hamia CHADEMA kwa waongo wenzio

Katibu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2025
Posts
460
Reaction score
102
Asalam aleykum.
Kwa siku za karibuni ameibuka mtu mmoja aitwaye Shughuru huku akiwa na mbwembwe za kuutaka U-Rais wa nchi yetu.

Sio jambo baya kwa mtu mwenye maono kupigania maono yake, lakini ni busara kujua anatumia njia gani kufikia maono yake.

Mimi nataka nimshauri bwana huyu, kwanza atafute chama sahihi, pili ajipange kiuchumi.

Sasa mimi natoa ushauri kwa Shuguru, hamia CHADEMA kule ukaanze nao malengo ya wewe kwenda Ikulu

Shughuru umekua unatoa ahadi za uongo sana, na hivyo unaofanana nao ni chadema, kule kuna kiwanda cha uongo, na hakika utapokelewa upitishwe ufipa hadi mikocheni, utaimbwa kwa mapambio huku ukipewa ukamanda ambao hata mita 5 huwez kukimbia kama tapeli Heche na Lema.

Pambalu atakupigania kwa jasho na damu, Erythrocyte atakupamba JF, ghafla utapewa mkebe wenye karatasi ya Matusi ili utukane sana maana ndio sifa ya wenzako huko.

Huu ndio ushauri wangu kwako, nielekee kuswali sasa.
 
Wanao wadanganya watanzania,watanganyika ni wale waongo waovu wanaochukia ukweli usemwao na Kila aliye Mwanachadema na Wazalendo wa kweli na wakujitolea kwa ajili ya taifa lao,kwa ucheche akina Slow slow wazalendo ama waliopoteza imani na chama kili kizee kilichochakaa kiasi cha kusubiri tu hatma,au kukata moto.
 
Ukishamaliza kusuguliwa jicho oga kwa kutumia jiki unsnuka
 
Wanao wadanganya watanzania,watanganyika ni wale waongo waovu wanaochukia ukweli usemwao na Kila aliye Mwanachadema na Wazalendo wa kweli na wakujitolea kwa ajili ya taifa lao,kwa ucheche akina Slow slow wazalendo ama waliopoteza imani na chama kili kizee kilichochakaa kiasi cha kusubiri tu hatma,au kukata moto.
Chama kizee ndio kipi?
 
Asalam aleykum.
Kwa siku za karibuni ameibuka mtu mmoja aitwaye Shughuru huku akiwa na mbwembwe za kuutaka U-Rais wa nchi yetu.

Sio jambo baya kwa mtu mwenye maono kupigania maono yake, lakini ni busara kujua anatumia njia gani kufikia maono yake.

Mimi nataka nimshauri bwana huyu, kwanza atafute chama sahihi, pili ajipange kiuchumi.

Sasa mimi natoa ushauri kwa Shuguru, hamia CHADEMA kule ukaanze nao malengo ya wewe kwenda Ikulu

Shughuru umekua unatoa ahadi za uongo sana, na hivyo unaofanana nao ni chadema, kule kuna kiwanda cha uongo, na hakika utapokelewa upitishwe ufipa hadi mikocheni, utaimbwa kwa mapambio huku ukipewa ukamanda ambao hata mita 5 huwez kukimbia kama tapeli Heche na Lema.

Pambalu atakupigania kwa jasho na damu, Erythrocyte atakupamba JF, ghafla utapewa mkebe wenye karatasi ya Matusi ili utukane sana maana ndio sifa ya wenzako huko.

Huu ndio ushauri wangu kwako, nielekee kuswali sasa.
Kuna watu waongo kama CCM?
 
"akiwa na mbwembwe za kuutaka U-Rais wa nchi yetu". Nchi yenu ipi tena! Mlikwisha jigawia hii nchi na kiifanya ya familia zenu!
 
Back
Top Bottom