Shughulika recruitment ni matapeli

Hawa jamaa kila siku naona wanatangaza kazi kumbe wanyonyaji kiasi hiki,serikali makini ingeshafungia hizi kampuni za kina yahaya,na pacha mwenzake erolink
 
Tatizo hakuna sheria inayo regulate shughuli za madalali. Wizi wa madalali ni janga la kitaifa, kuanzia kwenye upangaji nyumba, biashara, nk. Mbaya zaidi mapato yao hayana value added tax!
 

yani hizi recruitment agents nimezikatia tamaa and i don trust them completely maana most of them ni wanyonyaji na ni waonevu,waongo,wameweka maslahi mbele na si kuwasaidia job seekers
 

tena yule caherini ndo mwizi mkubwa ingekua uwezo wangu ningeenda kumtoa pale na greda nimrudishe kijijini kwao nakuru,hiyo laki mbili ni kwamba yeye kachukua robo tatu halafu robo uchukue wewe
 

weka rucruitment yako hapa watu waijue ili waaply
 
Poleni sana kwa utapeli huu. Hata hao employers wanaowatumia hawa Shughulika ni bogus. Kama kweli wako makini hawawezi kuentertain ujinga huu
 
Hivi na hawa AK COMPANY vipi kwa anae jua
 
Tatizo hakuna sheria inayo regulate shughuli za madalali. Wizi wa madalali ni janga la kitaifa, kuanzia kwenye upangaji nyumba, biashara, nk. Mbaya zaidi mapato yao hayana value added tax!

Hivi ni kwanini hakuna sheria za kuwadhibiti madalali juu ya mapato yao? serikali haioni inapoteza kodi nyingi bure tu? SERIKALI AMKENI.
 

Mkuu hii yenu inaitwaje maana yamekuwa majanga tuwasaidie wadogo zetu.
 
ahahaaaa hapo bado hamjagawana? au baada ya mgao?
 
Dadavueni wakuu yaani recruitment agent anaaminiwa na client kuliko mfanyakazi atakayeenda kufanya kule
 
Hahaaaa ulifikiri wafukia makaburi mpwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…