Shughuli za kiserikali siku ya jumapili ukome

MASEETO

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
261
Reaction score
86
Katika vipi vinavyoniudhi ni kifanya shughuli za kiserikali siku ya jumapili,watu wanashindwa kuhudhuria ibada wanafuatilia mini kitanili ikulu. Hivi kwanini mikutano kama hii isiitishwe siku za kazi. Tangy asubuhi tumekodoa macho kwenye runinga, NASEMA TABIA HII IKOME, NA CDM TUKICHUKUA NCHI TUACHE UPUUZI, VINGINEVYO NITACHARAZA BAKORA SISTIMU NZIMA
 
Mi nilifikiri ulipewa assignment na bosi wako uifanye Jumapili kumbe umbea wako ndo uliokufanya usiende kwenye ibada unakodoa macho kwenye TV. Umetumwa kwani? Haaa!
 


hivi mnachukua lini vile nchi?!!!!
 

Kumbe jumapili siyo siku ya kazi.... Source?
 
mtoa mada mdini sana huyu kwani kunamtu alikatazwa kusali. shughuli ngapi zinafanyika ciku ya ijumaa husemi.maneno yk yananuka na yametuchefua punguwani wewe
 
mtoa mada mdini sana huyu kwani kunamtu alikatazwa kusali. shughuli ngapi zinafanyika ciku ya ijumaa husemi.maneno yk yananuka na yametuchefua punguwani wewe
Hivi bila kashfa ujumbe haufiki?
 
Jitu zima hovyo eti linalalama halijaenda kuabudu sababu ya luninga na unajua kuna Jf ambapo ungekuta mambo murua!!!!!!!

Siku mwanao akikuambia haendi sababu anacheki katuni usitutumue sharubu zako!!!!
 
kwani ulilazimishwa kuangalia watu wengine sijui mnawazaga nini
 
Posho mkuu inasumbua.Hata likizo watu wengine hawapendi kwenda.
 
chadema ya wahafidhina mchukue nchi ipi? maajabu haya.
kwani umelazimishwa kukaa kwenye TV kuangalia? siuende kufanya kazi au ni uvivu unakusumbua halafu unasingizia ikulu press. kwani ingekuwa j3 usingeenda kazini iliuangalie ikulu press. utakuwa na matatizo wewe sio hivi hivi tu.
 
Siku za lbada ni tatu ijumaa,jumamosi na jumapili ukiacha ibada za kila siku,sasa uvumilivu ukikushinda kwa masaa tu,na wote tukidai ivo sijui itakuaje?
 
Duh!mpaka sasa hivi hakuna aliyemwambia aweke picha!
 
na kwa katiba iliyopo serikal haina dini ila watu wake wanadini na kila mtu ana uhuru wa kuabudu kile achokiamini bila kuvunja sheria za nchi hivyo kwangu mimi jumapili ni siku ya kazi labda juma3 kwangu ndiyo siku ya ibada kwahiyo tuheshimiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…