Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,205
- 5,334
Ataletaje mrejesho wakati atakuwa tayari amelala usingizi wa maisha pale Sinza makaburini!
Nina asilimia za uhakika na imani kuwa atapona ndiyo maana nimeleta bandikoAtaletaje mrejesho wakati atakuwa tayari amelala usingizi wa maisha pale Sinza makaburini!
Mkuu hiyo ya kunywa vijiko viwili Ni SHUBIRI MWITU AU SHUBIRI MZUNGU?Nina asilimia za uhakika na imani kuwa atapona ndiyo maana nimeleta bandiko
Kama Ni SHUBIRI MWITU LAZIMA UREST IN PEACE LABDA SHUBIRI MZUNGUSina stori ndefu maana kila mtu anautambua ugonjwa huu, dalili zake, namna ya kujikinga na madhara yake...
Asante mungu mdogo wa Tanzania, midomo yenu imeneemewa uponyaji.Nina asilimia za uhakika na imani kuwa atapona ndiyo maana nimeleta bandiko
Ndio hiyooKumbe shubiri ndio Aloe Vera?
Aiseeee!!! Ukinywa maji mengi haisaidiii walau?? Kuna dawa moja ya kienyeji nilipewa na masai fulani dawa ni chunguu balaa afu mtu akinywa hapohapo unaanza kusikia kizunguzungu kichwa kinakua kama kimejam hivi ukinywa ukatembea unaeza anguka..Tahadhari: Matumizi holela ya madawa ya kienyeji ni hatari sana kwa afya ya ini na figo.
We jamaa utaua watu Tena shubiri oori vijiko viwili??????Sina stori ndefu maana kila mtu anautambua ugonjwa huu, dalili zake, namna ya kujikinga na madhara yake.
Hivyo hapa nipo kupendekeza tiba mbadala kama ilivyo kufukiza naomba nikwambie tu kuwa endapo utaandamwa na matatizo ya kuharisha, kichwa kuuma, joto n.k usijali ndugu tafuta mwalovera chuma jani la alovera kamua maji yale ya mshubiri pori kunywa vijiko viwili vikubwa vya chai pasipo kumix na chochote rudia tiba hii kwa siku zisizozidi tatu kutwa mara mbili afu leta mrejesho jamvini.
NB: Ushauri huu si wakidaktari au wakitaalamu, hivyo endelea kuchukua tahadhari nakufata ushauri wa kisayansi uliothibitishwa na ukiona dalili wahi mapema hospitali, na kuhusu tiba hii ukiamua kuitumia itumie kama mbadala tu.
Aiseeee!!! Ukinywa maji mengi haisaidiii walau?? Kuna dawa moja ya kienyeji nilipewa na masai fulani dawa ni chunguu balaa afu mtu akinywa hapohapo unaanza kusikia kizunguzungu kichwa kinakua kama kimejam hivi ukinywa ukatembea unaeza anguka..
Ila matokeo ya dawa hiyo kwashida yangu nayaona kabisa!
Aiseeee!!! Ukinywa maji mengi haisaidiii walau?? Kuna dawa moja ya kienyeji nilipewa na masai fulani dawa ni chunguu balaa afu mtu akinywa hapohapo unaanza kusikia kizunguzungu kichwa kinakua kama kimejam hivi ukinywa ukatembea unaeza anguka..
Ila matokeo ya dawa hiyo kwashida yangu nayaona kabisa!
I think alikua ana Fangus za ukeni.Shida yako ilikua ni ipi ndugu?
Mkuu; Ulishajaribu kutumia wewe???? Nina UHAKIKA mtumiaji atavaa taulo baada ya robo saa tangu kunywa kiasi ulichotaja na Asipowahi hospitali au kunywa maziwa fresh mengi anaweza KUPOTEZA MAISHA/KUFA... (Believe me). Sisi huku kwetu hiyo kitu inaitwa osukuroi. Ukitaka kuitumia lazima umpate mtu au mzee mzoefu na anayejua VIPIMO.Nina asilimia za uhakika na imani kuwa atapona ndiyo maana nimeleta bandiko