Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,085
- 4,499
Sina stori ndefu maana kila mtu anautambua ugonjwa huu, dalili zake, namna ya kujikinga na madhara yake.
Hivyo hapa nipo kupendekeza tiba mbadala kama ilivyo kufukiza naomba nikwambie tu kuwa endapo utaandamwa na matatizo ya kuharisha, kichwa kuuma, joto n.k usijali ndugu tafuta mwalovera chuma jani la alovera kamua maji yale ya mshubiri pori kunywa vijiko viwili vikubwa vya chai pasipo kumix na chochote rudia tiba hii kwa siku zisizozidi tatu kutwa mara mbili afu leta mrejesho jamvini.
NB: Ushauri huu si wakidaktari au wakitaalamu, hivyo endelea kuchukua tahadhari nakufata ushauri wa kisayansi uliothibitishwa na ukiona dalili wahi mapema hospitali, na kuhusu tiba hii ukiamua kuitumia itumie kama mbadala tu.