Kwenye uzi huu ulituambia ni 350,000/-
showcase za kuhamishika..
boss wangu hizi showcase zinabadili kabisa muonekano wa seble yako..
seble yako inakuwa 🔥🔥
boss wangu ww jiamulie mambo tu😁 kwa kunipa oda nkutengenezee showcase yako..
tupo dar mbagala 0692477610
Na hesabu yake inaweza kua hivi
Pvc 2 x 15k = 30k
Kikabati cha chini kilicholala 120k
Kikabati cha pembeni kilichosimama 120k
Tv Marbe sheet (hii ni ile kama wallpaper sio marble jiwe) metres x 20k = 40k
Ufundi na faida 70k. Nini kimesababisha ndani ya miezi mitatu tu iongezeke 200k nzima??