Cantona fundi mkuu
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 292
- 309
Wabongo bhana. Kama unaona mwenzio anafaidi sana basi tengeneza na wewe upige hela, hii ni biashara huriaBongo nyoso , hapo gharama zote mpaka rangi haizidi 250k, ila wewe unataka 550 sio ? Ungeweka walau 350
Upumbavu...ndio maana biashara hazikui na kuendelea..... kisa tu mtu unajiwekea bei za ajabu.. hio show case ukienda sehemu nyingine unapata cheaper zaidi ..... bora upate faida kiduchu ama ya wastani biashara itembee uwe na mzunguko mkubwa.... ondoa kinyesi kichwaniWabongo bhana. Kama unaona mwenzio anafaidi sana basi tengeneza na wewe upige hela, hii ni biashara huria
Noma sana!Aise
TUmefikia pabayaNoma sana!
Tujikaze mpaka tufike mwishoTUmefikia pabaya
Nikupe laki 7.showcase simple ya ukutani pia inaweza kuhamishika.
tupe oda boss tukutengenezee Yako.
tupo Dar Mbagala.
0692477610
View attachment 3687999
Huku mafuta 4k haifiki lita moja huyu nae mbao anauza 550kTujikaze mpaka tufike mwisho
Lazima ukae! Maisha yanapanda daily especially huku mwishoni mwa mwaka🙌🏾Huku mafuta 4k haifiki lita moja huyu nae mbao anauza 550k
🤣🤣 Mzee hapo akuna material yakupigwa rangi apo izo mbao ni melamine board google uonebei zake.. pembeni kushoto ni PVC panels kagoole bei ya pc 1..Bongo nyoso , hapo gharama zote mpaka rangi haizidi 250k, ila wewe unataka 550 sio ? Ungeweka walau 350
🤣🤣 Mzee upo mkoa gan maana naweza kukujibu kumbe upo mwinde huko ntakuwa natwanga maji kwny kinu tuUpumbavu...ndio maana biashara hazikui na kuendelea..... kisa tu mtu unajiwekea bei za ajabu.. hio show case ukienda sehemu nyingine unapata cheaper zaidi ..... bora upate faida kiduchu ama ya wastani biashara itembee uwe na mzunguko mkubwa.... ondoa kinyesi kichwani
Apna boss. Ni melamine board, PVC panels na Mable sheet.Unatumia mninga?
🤣 Hakuna mbao apo ni umaskini wako tu unafanya uone mbao🤣🤣Huku mafuta 4k haifiki lita moja huyu nae mbao anauza 550k
Iyo ni laki 5 na nusu boss. Wala haifiki laki 7 ukihitaji ya lak 7 inakuwa ni full panel ukuta mzmaNikupe laki 7.
Ukifika 150,000 nitafuteshowcase simple ya ukutani pia inaweza kuhamishika.
tupe oda boss tukutengenezee Yako.
tupo Dar Mbagala.
0692477610
View attachment 3687999
PVC Pannels zipo mpaka 15k wewe umeweka mbili ni 30k🤣🤣 Mzee hapo akuna material yakupigwa rangi apo izo mbao ni melamine board google uonebei zake.. pembeni kushoto ni PVC panels kagoole bei ya pc 1..
Hapo kwny tv ni Mable sheet nayo google bei yake Kisha irudi useme iyo 550k ni sawa au niongeze.