huwezi kushambulia ngozi nyeusi, sisi ni wanyonge wenye nguvu za ushawishi especialy pale tunapoweza kuonewa huruma ulimwengu mzima. sisi waafrika kiasili katu sio magaidi kama waarabu, bali ni maskini wapenda amani, tusioweza kujisimamia mara zote kwakuwa tunayumbishwa na hongo/rushwa za hapa na pale na tamaa za madaraka za viongozi wetu. kameruni anachoweza kufanya ni kutuwekea vikwazo vya kiuchumi tu, na hapa tutashika adabu. mbinu nyingine anayoweza kufanya ni kuunda ama kufadhili uasi kwenye nchi zetu, tofauti na hapo sisi waafrika ni junior saana.
hatuna hata ndege mkweche ya kwenda kupiga bomu pale london.
shida zetu ni chakula zaidi sometimes utadhani sisi ni mifugo, hawa whites wanaweza kutusimamia watakavyo. infact sio waafrika wote but most of us.
ni rahisi kwa whites kushambulia nchi ya waarabu kama vile sudan ya kaskazini, libya na misri, pengine ndio sababu whites hawakushambulia walipopelekwa congo.
mugabe lifespan is closer to zero, wanaweza wasi-mind sana, labda kama utaanzishwa utawala wa kiimla.