Duuh...siku gani utakuja na story za gheto kuhusu wanawake, naona masikio yako yananasa za kike tu.:A S tongue:
domo kubwa yatampata makubwa,mwanaume mtamu unamtangaza ananuka nanihii ili wakuachie mwenyewe!
sikuzote natamani sana kuingia mioyoni mwa wanawake maana kuwagundua ni vigumu sana..
tunatamani kuwapekua hadi mainiBelieve me nasi tunatamani sana kuingia kwenye mioyo yenu!
Yaelekea hujamsoma Ndyokoulijuwaje?
tunatamani kuwapekua hadi maini
tunatamani kuwapekua hadi maini
Ilikuwa ni usiku wa siku ya 'arobaini' ya msiba wa mtu alofariki kitambo.
Nikiwa ndani nimelala kunako mida ya saa nne usiku, kwa nje kulikuwa
kuna wadada kama wanne au zaidi-baada ya kuimba kwa muda-walikuwa wakiendelea kupiga
stori zao za girly.
Kama kawaida mmoja akamchomekea mwenzake kwa kusema: "Yaani, akamtaja jina, pamoja kujidai kote eti
humpendi John, mwishowe kakunasa.......na siku hizi unavyomganda utadhani
sio John yule uliyekuwa ukidai eti hana hadhi ya kuwa nae.
Mhusika alipoambiwa hivyo kwanza akacheka, halafu akajibu "Shosti mwanaume
mtamu yuleeeee!Yaani najilaumu kwanini nilimdengulia sana!". Mdada wa tatu akadakia:
'Mwenzangu usituringishie tusije tukakupindua bure, wengine huo utamu tunausikia kwa bomba".
Wakaendelea kutuchambua wanaume kwenye mambo mengi, ila mie nilivutiwa tu na hiyo 'remarks' za
huyo aliyenogewa na utamu wa mpenzi wake.
Jioni njema wajemeni!
Duuh...siku gani utakuja na story za gheto kuhusu wanawake, naona masikio yako yananasa za kike tu.:A S tongue:
mifuko haina maana kwani kila kitu mnaweka mifukoni?Mtatuua sasa, hadi maini!!!???Ina maana mifuko yetu mnayotupekua haiwatoshi??
but ni bora kuujua ukweli hata kama unaumiza kuliko kukaa gizani ,na kufurahi kumbe unachofurahia sioI know; lkn come to think of it! Imagine unajua kila anachowaza huoni kwamba it can be very boring?