Shosti mwanaume mtamu yuleeeee! Najilaumu kwa nini nilimdengulia muda mrefu!

Kama utamu wenyewe ndio huo....................Sasa kilichomshangaza NDYOKO ni kitu gani...............!?

Huku sasa ni kutafutana ubaya humu ndani jamani! Sema tu mvi zako zimezidi nikiporomosha 'maneno' ntaonekana sina adabu kwa watu 'wazima'.
 
domo kubwa yatampata makubwa,mwanaume mtamu unamtangaza ananuka nanihii ili wakuachie mwenyewe!

Hehehe Shosti umenikumbusha mbali sana, wakati bado nacheza miguu yote miwili nikikutana na demu mtamu. (mjanja tunapokua kwenye 18) huwa namkandia kwa washkaji. Demu hana ishu ana K- kubwa, maji etc. ili tu wasimtokee, nakumbuka last time nilimpa mtu ngoma.Niliwaambia washkaji demu ana ngoma huyo. Jamaa wakapiga kimya mimi nikawa najilia kwa siri... du Maisha? tunatoka mbali.
 
mwanaume mtamu?...duh! hapa samaki ana mengi yakusema...lakini yuko ndani ya maji...
 
hahahahahaa unadhani wakati namtangaza ananuka naishia hapo,namie natoa sababu kwa nini niko naye japo anuka!

LOL! basi nanihii yake labda hainuki inanukia :):) au kuna sababu nyingine nzito zaidi za wewe kuendelea kuwa naye kuliko kumtema.

Last edited by a moderator:
Hehehe Shosti umenikumbusha mbali sana, wakati bado nacheza miguu yote miwili nikikutana na demu mtamu. (mjanja tunapokua kwenye 18) huwa namkandia kwa washkaji. Demu hana ishu ana K- kubwa, maji etc. ili tu wasimtokee, nakumbuka last time nilimpa mtu ngoma.Niliwaambia washkaji demu ana ngoma huyo. Jamaa wakapiga kimya mimi nikawa najilia kwa siri... du Maisha? tunatoka mbali.
hahahahah weye mjanja..unatangaza utamu ili manzi yang'ong'e!
 
LOL! basi nanihii yake labda hainuki inanukia :):) au kuna sababu nyingine nzito zaidi za wewe kuendelea kuwa naye kuliko kumtema.

hujui ukiwa na mpenzi mwenye kikwapa mwisho wa siku na wewe unanuka kikwapa...sasa nawaambia kama wabishi wasubirie ng'onda asikike sehemu muhimu ndo watajua kama maharage mboga au ftari,mwenzao nshaumia!
 
Last edited by a moderator:
LOL! basi nanihii yake labda hainuki inanukia :):) au kuna sababu nyingine nzito zaidi za wewe kuendelea kuwa naye kuliko kumtema.

Hahahaha haha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom