jamani tuvumiliane kwenye hii safari ya ajira...huu mchakato unadatisha sana,inawezekana jamaa anaapply sehemu kibao hadi anasahau mambo,hata mm kuna sehemu nasahau kama nimeapply....mkuu deadline ni tar 9 ya mwezi huu...kuwa mpole utaitwa tu pale mjini dodoma...