James Rodriguez 10
Senior Member
- May 4, 2023
- 142
- 230
Ni vizuri sana kabla hujafanya maamuzi ya kusoma short course yoyote uka-explore market yake. Kuwa na KLF ni moja lakn GIS ni kitu kingine kabisa ambacho ukipata ujuzi wake unaweza changanya na ujuzi wako wa KLF then ukafanya kitu ambacho ni Cha kipekee kwenye industry yako mkuu.Kumbe kama mi KLF nikiiramba GIS nakuwa nimepoteza muda inakua imekula kwangu mkuu
Shukrani mkuuNi vizuri sana kabla hujafanya maamuzi ya kusoma short course yoyote uka-explore market yake. Kuwa na KLF ni moja lakn GIS ni kitu kingine kabisa ambacho ukipata ujuzi wake unaweza changanya na ujuzi wako wa KLF then ukafanya kitu ambacho ni Cha kipekee kwenye industry yako mkuu.
Zipo nyingi sanaKwa watoto wa kike vipi kwa upande wao kozi gani zipo vizuri?
Mention mkuu nina mdogo wangu nataka apitie ukoZipo nyingi sana
Ndio mashiko yapo maana tafiti yoyote ile inahitaji uchambuzi na uchakataji wa taharifa ambao ni bora lkn unavyo soma short course kama hii jitaidi kuwa na connection na watu wanao fanya tafiti kama vile NGOs, Student
Mimi niliwai kusomea short course ya data analysis kwa kutumia Genstat wakati nipo chuo mwaka watatu kusema kweli nilipata pesa ya kutosha kupitia wanafunzi wenzangu pia iliniwezesha kunipatia ajira yangu ya kwanza
Mwisho kabisa lkn sio lazima ukiwa data analytics inabidi uwe na uwezo wa kuandika finds mbali mbali hii itakusaidia sana kupata kazi
Sho kali sana kwa graundiKuandika findings au funds? And how?
SPSS ni kipengereKuandika findings au funds? And how?
To yeye 🤣🤣Ni walimu na jingine tumbo kama pakacha
Hii ni Online mkuu au?Hapana, unaweza ukawa artisan, technician au engineer na ukasoma tu bila shida. Kikubwa tu uwe na basic ya ufundi hasa wa magari katika angle yoyote ile iwe makenika au umeme.
Yeah hii ni online mazeeHii ni Online mkuu au?
Naam sahihi kabisa.Hii ni Online mkuu au?
NakubaliFundi redio