Wewe si umesema wamevunja taratibu??Wafuate BASATA, TCRA ukishindwa kuzipata huko nenda wizarani kabisa wanakojishughulisha na masuala ya sanaa na utamaduni.
Kama kuna ukweli hivi..JAVI LA WAGENI.
Hata mimi nimejiuliza sana amekwaza kivipi kwa kutamka haleluya?Kutaja tu neno haleluya inaashiria ukristo unakua ,so wala hatuna neno naye,sisi wakristo tunaimani siku moja ataimba gospel .Bwana Yesu asifiwe mkuu!
Mimi ni mkristo lkn sijakwazika na lolote lile maana najua ile ni kazi ya sanaaDiamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Hio unayoiita 'hovyo' ndio tunayoikubali..Hatuwezi kukubali wanamuziki waharibu kizazi chetu kwa kutunga miziki isiyo na maadili eti kisa wanamuziki wanatafuta ela ya " pampasi" za watoto wao. Kama unataka biashara ya muziki inoge nchi fuata taratibu zilizopo.
Angekuwa makini hasingetumi mamilioni anayodai kutoa kitu cha hovyo! Hata hivyo walielezwa warekebishe wakagoma...wanalalamika nini sasa.
Ipandishe hapa mkuuNaona diamond Twitter kashaluka na mtu
Hii hapa mkuu.........anamwambia kama anajua utaratibu wa barua yeye kwa nini wakati wa kuwafungia nyimbo zao alitumia social media...Ipandishe hapa mkuu
Daah!!!noma sana,huyu jamaa anajiamini.Hii hapa mkuu.........anamwambia kama anajua utaratibu wa barua yeye kwa nini wakati wa kuwafungia nyimbo zao alitumia social media...
Kama alilianzisha kwenye social media walimalizie huku hukuView attachment 720413
Anaiamini nguvu ilioko nyuma yake..Daah!!!noma sana,huyu jamaa anajiamini.
Ngoja aione mvua ya boy from tandale sasa.[emoji23][emoji23][emoji23]Anaiamini nguvu ilioko nyuma yake..
Lkn na huyu mama amebugi kufunga nyimbo zote zile
Kuna Ke na Ke!Daimond alivo chiz achelew kusema au kwa sababu ajamkula ndo mana analeta zengwe
Daah!!!noma sana,huyu jamaa anajiamini.
Kama anataka kulia vile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]This time amekuwa mpole sana tofauti na Siku aliyokuwa anawananga kina Gigy Money.