Mond alisema kweli,kuna kamama kamoja kanakurupuka sanaaa, kamelewa sifa na madaraka, kanarudisha sanaaa yetu nyuma kwa kisingizio cha maadili,ilihali kenyewe hakana maadili hata kidogo. Juzi kati nilikafuma sehemu kamepaka rangi kucha za mikono yotee kulia na kushoto!! Haya ndo maadili ya wana BASATA???