Shombo za Mond kwa Kiba

Watu bhana...
Wewe umejuaje kama amemlenga ALIKIBA,labda kamaanisha clouds media na wafanyakazi wake..?
Wewe unajuaje..?

Ila kwa kipindi hiki Diamond akifanya jambo lolote itaonekana anamlenga ALIKIBA,naona inabidi Diamond ajifungie ndani kwake kwa muda..!
Na kuna kila dalili ya WCB kuachia kazi mpya hivi karibuni,sasa sijui itakuaje aisee..!
 
POCHI NENE REMIX coming
 
Mondi wakati mwengine anakuaga msenge sana huyu dogo...kwani angeuchuna tu akapiga show akasepa au akaongea yanayohusu show ya mboso ingekuaje? huyu ndo anayempa kichwa Kiba kwa usenge wake...maana akimfanyia shindi mwenzake,wanajamii wanaanza kumuonea huruma Kiba na kuanza kutoa sapoti za kinafki.
 
Naanza na kunukuu
"Kuna watoto wanaotaka ligi na wcb tumewachununia zimebuma" mwisho wa kunukuu

Hayo ni maneno ambayo ameyatoa diamond baada ya kuperfom katika shoo ya kwanza ya mboso tangu asajiliwe na wakal hawa wa burudan Tanzania
Mara baada ya kauli hiyo iliibuka shangwe kubwa kutoka kwa mashabiki

Kisha akawauliza wamefel hawajafel
Wamefeliiiiiiiiii

Haya sasa japo hajatajwa mtu ila inajulikana tu nan kasemwa hapo

Huenda YouTube viewers zikaongezeka leo baada ya dongo hili

Asnten
Check video hapo

jitu zima lina ndevu miiba, baba watoto anayekaribia kuletewa posa ya binti yake miaka c. mingi una.mchukulia kuwa yy ndio mtoto aliyesemwa na mond! kama yy ndio mtoto basi kazi mnayo kwenye pori la simba.
 
Alikiba hauwezi mziki wa ushindani, Hawezi mziki biashara..

Clouds wamejaribu mmeba ila wapi, video ya juzi aliye andika script ni mtu wa ajabu, yaani Niko na mke wangu mtu anakuja na kusema mimi ni fulani, namtaka mkeo......
Bleach haikumpendeza.

Kiufupi kiba analazimisha mambo.
Angefuga hata kuku.
Hicho kinywaji chake hakitaweza shika soko.

Bongo mziki ni One man army. Ni sawa na movie enzi hizo

Hata walio juu hawataki pitwa na walio chini
 
jitu zima lina ndevu miiba, baba watoto anayekaribia kuletewa posa ya binti yake miaka c. mingi una.mchukulia kuwa yy ndio mtoto aliyesemwa na mond! kama yy ndio mtoto basi kazi mnayo kwenye pori la simba.
Unahasira kaka
 
Back
Top Bottom