Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.
Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila siku
Nimejaribu kumkanya ila naona hasikii hadi wife ameshtukia nakuanza kugomba.
Ameniambia hata nifanye nini lazima nimlale mimi huo mchezo si uwezi kabisa
Msaada please nimuepuke huyu jamaa
wee mgegede huyo jamaa bwana
Hadi umefikia hatua ya kuoa hujajua namna ya kutatua tatizo hili kama ni la kweli?
Ningekuwa namfahamu huyo mkeo ningemuambia unafanyaga huu mchezo
Kama kweli ungekuwa hupendi ungekuwa umeshapata dawa yake!!
Mungu akusamehe...
Tatizo kawa king'anganizi nimejaribu kutumia njia zote wapi huyu raia bado yupo