Jamani kweli hii imezidi na inatisha amefanya nini mmama wa watu?na hata kama angekuwa amekosa hakustahili adhabu ya namna hiyo?na huyo mtendaji amechukuliwa hatua gani au ndio ameingia mitini?
jamani kweli hii imezidi na inatisha amefanya nini mmama wa watu?na hata kama angekuwa amekosa hakustahili adhabu ya namna hiyo?na huyo mtendaji amechukuliwa hatua gani au ndio ameingia mitini?