Tutake tusitake ni lazima tushirikiane na wenzetu kuleta maendeleo hatuwezi kuwa kisiwa. Suala la msingi ni kuhakikisha kuwa ushirikiano hauingii moja kwa moja kwenye maslahi ya nchi yetu.