Shirika la Reli Tanzania (TRL) badilikeni

Shirika la Reli Tanzania (TRL) badilikeni

MeanMan

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
52
Reaction score
13
Leo TRL wameahirisha Safari ya garimoshi liendalo Kigoma na mwanza "kwa sababu zisizozuilika" sawa lakini je namba za simu za wasafiri watarajiwa mnazochukua wakati wa kukata tikiti nini matumizi yake? Nilitarajia ni wakati Kama huo ambapo Safari inaahirishwa!
 
Safari imeahirishwa hadi kesho saa 2 usiku. Ilitarajiwa kuondoka saa 2 usiku huu. kuahirishwa masaa 24 bila taarifa ya awali sio mchezo!
 
Back
Top Bottom