Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,534
- 49,407
Mtihani sana hawa jamaa.Kuna malalamiko, mizigo mingi inapotelea posta zetu uwaminifu hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo hata lodge uaminifu hamnaKuna malalamiko, mizigo mingi inapotelea posta zetu uaminifu hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini systems za serikali yetu ni zakizamani sana yaani hawaendi sambamba na dunia kabisa, tunapitwa na nchi ndogo kama kenya duh! Ukienda BOT majanga zaidi hawaruhusu PAYPAL, ukija TCRA utakuta sheria kandamizi za kibeberu za kulipishwa youtube, ukija TANESCO Ndo madudu hatari, ukienda BANDARINI ndo utalia aisee!! π€π‘
Rais mwenye exposure ndo anahitajika hapa kama Kagame.
Posta duuhKuna malalamiko, mizigo mingi inapotelea posta zetu uaminifu hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Very childish and pain jokeHivi kwanini systems za serikali yetu ni zakizamani sana yaani hawaendi sambamba na dunia kabisa, tunapitwa na nchi ndogo kama kenya duh! Ukienda BOT majanga zaidi hawaruhusu PAYPAL, ukija TCRA utakuta sheria kandamizi za kibeberu za kulipishwa youtube, ukija TANESCO Ndo madudu hatari, ukienda TRA BANDARINI ndo utalia aisee!!mzigo wa 10,000Tsh unalipishwa 50,000 Tshs, hao posta ndo usiseme wakiona mzigo mkali wanasepa nao kimya kimya. Are these guys serious? π€π‘
Rais mwenye exposure ndo anahitajika hapa kama Kagame.
Tulijua Zanzibar baada ya kuwa na bunge la CCM tu wangekuwa kama Scandinavian country ndani ya miaka 5 but hollaNot under CCM vumilieni tu
Nimepoteza vitambulisho vyote muhimu sababu ya uzembe wa wahudumu wa guest house na polisi hata kuniandikia Loss report wanataka vipimo vya corona.π¬π¬π¬π¬π¬Bongo hata lodge uaminifu hamna