Shipping Container

kailem

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
15
Reaction score
3
Habari za mihangaiko wanajamvi,

Nauilizia mtu yoyote anayefahamu wapi naweza nunua shipping contaner na huwa ni bei gani?

Nipo maeneo ya Arusha
 
Nenda kwa Shipping Line
La 20 fiti ni dola elfu mbili
La 40 fiti ni dola elfu nne
Na hiyo ilikuwa mwaka juzi ila kwa sasa sijui itakuwa shs ngapi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…