Hata sidhani kama alilichimba yeye. Labda wachina walichukua kifusi cha kwenda kutengenezea barabara au wabongo walichenjua makinikia hapo kwenye eneo lake.Pole mkuu, naona changamoto za ufugaji zimekushinda. Ulijua utapiga mihela kutokana na kilimo cha samaki. Hakuna kazi rahisi wewe bora uendelee na mradi wako kuliko kuusukumia kwa watu wengine.
Lifukie then uje PM uniuzie hicho kiwanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tupia vipicha basi tuone bidhaa iliyosokoniLinafaaa kwa ufugaji wa samaki lipo maeneo ya misugu sugu lina ukubwa wa ekari moja , chemchem ipo ndani ya hilo eneo, karibuni wateja
+255713976563
Sent using Jamii Forums mobile app
duhMkoani mnatuma?
Kuna biashara naifanya ndo inasababisha kuwepo kwa mashimo hayo.... nina maeneo mengi ya aina hiyo so nimeanza kuyauza maeneo hayo
Usishikiwe sana akili na wachina jiamini kuna lingine naanza kulichimba soon litakuwa na eka 4.Hata sidhani kama alilichimba yeye. Labda wachina walichukua kifusi cha kwenda kutengenezea barabara au wabongo walichenjua makinikia hapo kwenye eneo lake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kivp mkuu?
Haaaa haaaa!!! Sawa mchimba mashimoUsishikiwe sana akili na wachina jiamini kuna lingine naanza kulichimba soon litakuwa na eka 4.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upande wa kulia ukitokea mjini, unaingilia lake steel..pale, au wakala wa vipimoMisugusugu upande upi Kama unaelekea Morogoro, ni upande WA shuleni pale vitendo? Na ni sh ngapi?
KaribuHii nchi ina mambo mengi sana!
Kila siku unajua kuna jambo jipya!
Sikuwahi kutana na hiii
kabiashara kanakosababisha hilo shimo litokee wahuni wakikajua kazi yao itakuwa ni kupiga marufukuKivp mkuu?
Membe Jr