BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,216
- 1,283
KaribuniLinafaaa kwa ufugaji wa samaki lipo maeneo ya misugu sugu lina ukubwa wa ekari moja , chemchem ipo ndani ya hilo eneo, karibuni wateja
+255713976563
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkoani mnatuma?
Lingefaa sana kama angelituma kwenye nchi zenye mauaji ya halaikiMkoani mnatuma?
Linafaaa kwa ufugaji wa samaki lipo maeneo ya misugu sugu lina ukubwa wa ekari moja , chemchem ipo ndani ya hilo eneo, karibuni wateja
+255713976563
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkoani mnatuma?
Pole mkuu, naona changamoto za ufugaji zimekushinda. Ulijua utapiga mihela kutokana na kilimo cha samaki. Hakuna kazi rahisi wewe bora uendelee na mradi wako kuliko kuusukumia kwa watu wengine.Linafaaa kwa ufugaji wa samaki lipo maeneo ya misugu sugu lina ukubwa wa ekari moja , chemchem ipo ndani ya hilo eneo, karibuni wateja
+255713976563
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usiwauzie serikali wafanye choo cha shule?Linafaaa kwa ufugaji wa samaki lipo maeneo ya misugu sugu lina ukubwa wa ekari moja , chemchem ipo ndani ya hilo eneo, karibuni wateja
+255713976563
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.Sio kila m2 anafuga samaki kiongozi, mimi nimeshafanya shughuli yangu kwa hiyo shimo limebaki ndo nataka niliuze kiongozi.Pole mkuu, naona changamoto za ufugaji zimekushinda. Ulijua utapiga mihela kutokana na kilimo cha samaki. Hakuna kazi rahisi wewe bora uendelee na mradi wako kuliko kuusukumia kwa watu wengine.
Lifukie then uje PM uniuzie hicho kiwanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si ulifukie mkuu, unataka kumuuzia mtu shimo lenye eka moja, unajua gharama ya kulijaza maji ili kufuga samaki?Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.Sio kila m2 anafuga samaki kiongozi, mimi nimeshafanya shughuli yangu kwa hiyo shimo limebaki ndo nataka niliuze kiongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzio wakiuza kitu mtandaoni wanaweka na picha
Hongera sana mkuu. Watu hawaelewi mambo yanavyokwendaJambo usilolijua ni kama usiku wa giza.Sio kila m2 anafuga samaki kiongozi, mimi nimeshafanya shughuli yangu kwa hiyo shimo limebaki ndo nataka niliuze kiongozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
PichaLinafaaa kwa ufugaji wa samaki lipo maeneo ya misugu sugu lina ukubwa wa ekari moja , chemchem ipo ndani ya hilo eneo, karibuni wateja
+255713976563
Sent using Jamii Forums mobile app