Shimo hili hatari

Nashangaa hili shimo linaonekana lilichimbwa special kabisa na juu lilizibwa kwa jinsi lionekanavyo,
Sasa bado najiuliza walilichimba hapo kwa mantiki gani..?
kwa mtazamo wa harakaharaka nirefu kina chake nafikiri futi sita hivi nahisi ni chemba ya maji taka sasa sijui walisahau kuweka mfuniko au walifunika wazee wa chuma chakavu wakapita nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…