Huyo dogo nadhani ameangalia umaarufu wa shilole,so anajua akimwoa star atasikika,hata hivo dogo kapata air time kwa ajili ya huyo shori bila hivo asingejulikana,dogo yupo serious inaonekana anampenda shilole,nilidhani labda shilole hakuwa serious,now seems serious