sentino2015
Senior Member
- Apr 9, 2015
- 176
- 30
Mkuu mbona ujaelewa point yako ni hipi sasa..??
Mi sijaelewa, labda ngoja nisubiri wengine waje kunifafanulia
Ungetulia uandike maneno kwa usahihi nadhani ungeeleweka zaidi au ungeisoma kabla ya kupost
kumbe tupo wengi tulioingia chaka na uzi huu!
Atulie vipi wakati kamaliza!Mkuu hawa woote hawakusingizii...tulia ukiandika kitu..kima una viroba subir viishe kwanza....
Nilikuwa sijaona kumbe ni mgeni ndio maana. Tumsamehe bure. Achukue kwanza tution ya jinsi ya kuandika humu. Huenda pia anatumia ka mchina na hivyo herufi kuruka.Mkuu hawa woote hawakusingizii...tulia ukiandika kitu..kima una viroba subir viishe kwanza....
Nilikuwa sijaona kumbe ni mgeni ndio maana. Tumsamehe bure. Achukue kwanza tution ya jinsi ya kuandika humu. Huenda pia anatumia ka mchina na hivyo herufi kuruka.
Inaonekana mtoa mada hayupo katika hali kawaida.....
Mkuu unahis ana tatizo gan
Inawezekana alipigwa na kitu kizito kichwani siku moja kabla ya kuandika habari hii...