Atakuwa anawapenda sna wa kuuzia suraWewe kilichokuvutia nini hasa kwenye hiyo reception ya mbele
Siku ukiambiwa anapuliwa mabegani utashika mdomo!Kwani huaga ina makombo?
Tatizo wanasema kuwa ile sio sabuni hata iishe ama ipungue ikitumika....Unapamba ukaliwe naye, utachoka ukiambiwa wenzio wameisha mtafuna..!
Hahahaaaa umenichekesha mkuu.Unapamba ukaliwe naye, utachoka ukiambiwa wenzio wameisha mtafuna..!
Na ana dinda vzr tuHivi kumbe huyu nae ni dume,duuuu!!
Kwan ss wasanii cyo binadam?Mademu wa kushobokea wasanii nawadharau sana.