Shikamoo biashara

Biashara ni nyoko. Kila ambapo nilikuwa nakaribia kukata tamaa, ni kama Mungu alikuwa ananiletea a guardian angel to encourage me.. Huwa siamini kama am surviving years now.

Ukiwa na roho ndogo biashara inakutoa mchezoni sekunde tu. Ukiona mtu kweli ame maintain kwenye business, kwakweli cha kwanza mpe heshima tu mengine muulize taratibu akupe maelezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…