Shika adabu yako!

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
6,767
Reaction score
20,870
Mtoto mmoja wa kiume alimuuliza mama yake "Eti mama.. hii hapa ni nini?" huku akiwa kashikilia nanii yake.. Mama kwa kukosa jibu akamwambia "Hiyo ni adabu yako. Mtoto mzuri huwa anaficha adabu yake tena haonyeshi watu"

Muda ukapita...

Siku moja kukawa na sherehe nyumbani kwa yule mtoto na kama kawaida mtoto akawa anasumbua na kufanya vituko. Kwa hasira mama yake akamuita na kumuonya "We kwanini hauna adabu lakini? Kuanzia sasa onyesha adabu yako mbele za wageni!!"

Mtoto akatii na kufanya kama alivyoambiwa..
 
hongera dogo.. following instructions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…