Kongamano la Umoja wa Bodaboda na Machinga Dar es Salaam limewakutanisha viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, RPC Ilala pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo.
Tukio hilo lililojumuisha mamia ya Vijana liliandaliwa kwa lengo la kuhamasisha na kuimarisha misingi ya uzalendo nchini.
Katika mkutano huo, Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, aliwaongoza bodaboda na machinga kula kiapo cha kuilinda amani ya Tanzania, akiwakumbusha umuhimu wa kutambua nafasi yao katika kutunza utulivu wa nchi.
Vijana walionesha utayari wao kwa kunyosha mikono juu kabla ya kutamka kiapo cha kupenda na kutetea taifa pamoja na kuilinda amani kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Tukio hilo limekuja siku chache baada ya Shigongo kuwaapisha maelfu ya vijana wa vyuo vikuu mkoani Mwanza, ambao nao waliapa kulinda amani ya Tanzania hatua inayoonesha msisitizo wa kuilinda Tanzania.