Shift za usiku na madhara katika mahusiano

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Shift za usiku zinapunguza bonding kati ya wanandoa,hii inatokana na sababu hizi:-
1. Mapenzi ya mchana hayanaga kujiamini kama ya usiku
2.Hisia za mapenzi mara nyingi zipo usiku kwa wanandoa
3.Wanawake hawanaga makeke mchana
4.Porn huwa ndo kitulizo kizuri kwa watu wenye shift za usiku
Angalizo:Taasisi ziandae mazingira rafiki kwa wanandoa wafanya kazi,hasa usiku ili wawe wanakutana japo masaa 2 ili kuongeza bonding
 
Dah me nangojea saa kumi na mbili nimalize shift yangu nikalale hapa
 
Wewe unadhani watu huwa wanapenda usiku kukesha makazini na kuwacha wenzi wao majumbani peke yao mchakamchaka wa maisha ndio unasababisha yote haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…