Shida ya maji Buhongwa Mwanza

Shida ya maji Buhongwa Mwanza

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,286
Reaction score
5,274
Ni week ya tatu sasa wananchi wanalia shida ya maji maneneo ya Buhongwa jijini Mwanza na hii changamoto ya maji haijawahi kutatuliwa huku idadi ya wakazi inazidi kuongezeka kila siku je tunangojea mlipuko wa kipindu pindu maeneo ya sokoni ndo tujue umuhimu wa maji.

Chakushangaza ni kuwa serikali ipo na inaendelea kuvuta maji ya ziwa viktoria kuyapeleka dodoma na mikoa ya jirani huku wananchi wa jiji la mwanza maji bado hayajitoshelezi.

Meneja wa (MWAUWASA) Eng. Leonard Msenyele yupo ofsini

Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula yupo

Waziri wa maji Jumaa Hamidu Aweso yupo

Naibu waziri wa maji Maryprisca Mahundi yupo

Tuwangojee mwaka 2025 mje na sera ya kusambaza maji tena.
 
Labda wananchi wa Kenya lakini watanzania hawajitambui Wala huwa hawakbuki Kama waliwahi kudanganywa.
 
Pole mkuu, maji yamekatika au hayajawahi kuwepo kabisa maeneo hayo?

Back
Top Bottom