Shida ya kuapply mikopo

mayayasilas

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
43
Reaction score
5
Jaman mm nimelipia ile 30,000 ya mkopo kupitia airtel money.

Sasa shida ambayo ipo ni katika ile transaction ID. Katika form za kujaza mikopo wanasema kwenye sehemu ya kujaza hyo tans ID wanataka tarakimu ziwe 9 tu lakini kwa airtel money zinazidi.

Kwa yeyote mwenye msaada kuhusu hili anisaidie jamani.
 

Mpesa peke yake ndio inahusika kulipia fomu.pole iyo imeenda na maji tafuta pesa nyingine ulipie na udownload bado wiki mbili zoez lisitishwe
 


​Pole sana kaka hiyo itabid ulipie upya na Mpesa boss hiyo umewapa bodi ya bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…