Shida kwa wenye PID

Shida kwa wenye PID

Joined
Jan 16, 2019
Posts
18
Reaction score
3
[emoji3479]PELVIC INFLAMMATORY DISEASE (PID)


Ni ugonjwa unao shambulia mfumo wa uzazi kwa mwanamke nimojawapo ya ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya kujamiiana.


[emoji3479]HUATHIRI SEHEMU ZIPI
[emoji654]Mfumo wa uzazi.
[emoji654] Ovary.
[emoji654]Mirija ya falopian pamoja na sehemu nyingine za mfumo wa uzazi wa mwanamke.


[emoji3479]SABABU ZA PID

[emoji654]Utoaji mimba usio salama
[emoji654]Wakati wa kujifungua
[emoji654]Magonjwa ya ngono Kama kaswende, gorrno her.



[emoji3479]DALILI ZA PID


[emoji654]Maumivu Wakati kwa kukojoa
[emoji654]maumivu makali wakati wa kujamiiana
[emoji654]Kuwashwa maeneo ya nje na ndani ya uke
[emoji654]Maumivu ya tumbo chini ya kitovu upande wa kulia mwa tumbo
[emoji654]Homa na chafya za Mara kwa Mara
[emoji654]kutoka uchafu wenye rangi Kama usaha au wa kijani wenye kutoa harufu.



[emoji3479]MADHARA YA PID
[emoji654]Kuvurugika kwa miangilio ya hormonal inbalance
[emoji654]kuchubuka na kuziba kwa mirija ya fallopian.
[emoji654]Kuwa na mzunguko mdogo au kukosa kabisa
[emoji654]kusababisha vimbe kwenye mirija na kwenye via vyote vya uzazi.



Je ni PID imekutesa njoo upone Sasa wasiliana nami kwa no 0717566549 WhatsApp 0765462490 call au tembelea page@afyamwanamke utapona na kuisahau PID

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom