Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,126
- 2,658
Kwa maslahi ya nchi wangeunganaShida ni nani atakubali kuungana na watu wenye mikono yenye DAMU??..Hapana
Wameshamharibia mwenzao. Ataishi kwa mawenge maisha yake yote baada ya kustaafu. Wao walistaafu kistaarabu hawawazi tume wala mashtaka. Mwenzao itamlazimu kufuatilia siasa za tanzania mpaka atakapokufa. Jambo la Mo29 halitamweka confortable. Mabadliko yoyote ya mfumo yatamnyima usingizi. Uwezekano wa kushitakiwa kwa mauji yale hata baada kustaafu ni mkubwa ndani au nje ya nchi. Itategemea sana nani anongoza nchi. Hakuna kiongozi dunia ambaye alifanya mauwaji ya Raia wake kwa kiasi kama hiki akaishi maisha bila kubughudhiwa na mifumo ya haki na tume huru. Hawa waliomzunguka kwa wakati huu wengine watakuwa wamejichomoa kwenye huu msala au watatoa sauti ambazo hakuna mtu ataziona za maana tena.Shida ni wanaume wanaomzunguka malkia na yule mzee wa msoge, wanamwambia keshakua dume so hamna wa kufanya lolote na hamna kushuka utaonekana dhaifu! Wametulia na vifua vipana vya upigaji wakati wanamsindikiza icc
Sahihi ila waungane na wale waliowasafi tu,wenye DAMU hatua za kimaadili na kijinai zichukue mkondo wake..periodKwa maslahi ya nchi wangeungana
Hili hawana muda wa kuliwaza kabisa lakini hakuna kitu kizuri kama kustaafu kwa heshimaWameshamharibia mwenzao. Ataishi kwa mawenge maisha yake yote baada ya kustaafu. Wao walistaafu kistaarabu hawawazi tume wala mashtaka. Mwenzao itamlazimu kufuatilia siasa za tanzania mpaka atakapokufa. Jambo la Mo29 halitamweka confortable. Mabadliko yoyote ya mfumo yatamnyima usingizi. Uwezekano wa kushitakiwa kwa mauji yale hata baada kustaafu ni mkubwa ndani au nje ya nchi. Itategemea sana nani anongoza nchi. Hakuna kiongozi dunia ambaye alifanya mauwaji ya Raia wake kwa kiasi kama hiki akaishi maisha bila kubughudhiwa na mifumo ya haki na tume huru. Hawa waliomzunguka kwa wakati huu wengine watakuwa wamejichomoa kwenye huu msala au watatoa sauti ambazo hakuna mtu ataziona za maana tena.
Acha ujinga, mseto na ccm wauaji utakuwa salama?.Kwa mfano, nasema kwa mfano!
Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini halafu wataalamu wakae chini waone nani ana mlengo gani na akae wapi.
Wizara na sekta mbalimbali ziwe chini ya watu wenye itakadi tofauti za vyama lakini zenye mlengo wa kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa wananchi. Si ndivyo wanavyojinadi huko? Kwamba tuwape nchi walete maendeleo, sasa tusiwapendelee watu fulani, tuwape wote! Wote si ni watanzania baana?
Tutengeneze dira ya nchi, tuwape vipaumbele vyetu, tuwape KPI za kila sekta, kila idara na kila Wizara kisha tukae pembeni tusubiri matokeo
Halafu baada ya muda hivi kama miaka miwili hali ikishatulia, vichwa vinawaza sawasawa na mihemuko imepoa, liitwe bunge la katiba kisha watu wapite mule mule alikopita Warioba kwa kufanya maboresho na nyongeza kidogokidogo kadiri ya wataalamu watakavyoona na katiba mpya iandikwe
Hivi hamuoni kama Tanzania itaitwa nchi ya mageneus sana? Hamuoni kama tutarudisha heshima tuliyokuwa nayo ukanda wetu wa maziwa makuu, Afrika na dunia nzima kwa ujumla?
Watu hawataamini maana huko waliko wao wanataka tupigane marisasi watucheke! Tuvurugane watukebehi! Tushenyetane wao waje wazoe marasilimali yetu
Tuukwepe huu mtego kwa kuunda serikali ya mseto ambayo itatuletea katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki huko mbeleni. Vingenevyo hii hali itakuwa ya kujirudia rudia
Unadhani suruhisho ni lipi? Hayo maandamano No way yanawatishaAcha ujinga, mseto na ccm wauaji utakuwa salama?.
Kichwa chenye chawa unyolewa na nywele kuchomwa moto.
Katiba mpya kwa mazingira haya lazima itakuwa upande wao tu. Hakuna anayekubali kuumizwa huku anaona. Ili katiba iwe nzuri lazima vichwa vipoe kwanzaHuu usaliti.
Mkifanya hivyo mtawasaliti waliojitoa kuandamana na kuuwawa. Ikifanyika hivyo hakuna watu watakao wajibishwa kwa mauji yale ya kutisha. Katiba mpya, uchaguzi urudiwe na waliouwa washitakiwe mahakama ya kimataifa
Ameshauriwa hilo lakini TL amekataa. Anatarajia kupata kikubwa zaidi ya hicho, huyo ndio TL. Kashauriwa vingi ili atoke, lakini vyote kakataa. Matarajio ya TL ni makubwa sana. Anafikiri kuwa kwa sasa yeye ndio aliyeshika kwenye mpini. Hana haraka.Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini halafu wataalamu wakae chini waone nani ana mlengo gani na akae wapi.
Wizara na sekta mbalimbali ziwe chini ya watu wenye itakadi tofauti za vyama lakini zenye mlengo wa kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa wananchi. Si ndivyo wanavyojinadi huko? Kwamba tuwape nchi walete maendeleo, sasa tusiwapendelee watu fulani, tuwape wote! Wote si ni watanzania baana?
Labda Samia na familia yake watokeKwa mfano, nasema kwa mfano!
Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini halafu wataalamu wakae chini waone nani ana mlengo gani na akae wapi.
Wizara na sekta mbalimbali ziwe chini ya watu wenye itakadi tofauti za vyama lakini zenye mlengo wa kujenga nchi na kuleta maendeleo kwa wananchi. Si ndivyo wanavyojinadi huko? Kwamba tuwape nchi walete maendeleo, sasa tusiwapendelee watu fulani, tuwape wote! Wote si ni watanzania baana?
Tutengeneze dira ya nchi, tuwape vipaumbele vyetu, tuwape KPI za kila sekta, kila idara na kila Wizara kisha tukae pembeni tusubiri matokeo
Halafu baada ya muda hivi kama miaka miwili hali ikishatulia, vichwa vinawaza sawasawa na mihemuko imepoa, liitwe bunge la katiba kisha watu wapite mule mule alikopita Warioba kwa kufanya maboresho na nyongeza kidogokidogo kadiri ya wataalamu watakavyoona na katiba mpya iandikwe
Hivi hamuoni kama Tanzania itaitwa nchi ya mageneus sana? Hamuoni kama tutarudisha heshima tuliyokuwa nayo ukanda wetu wa maziwa makuu, Afrika na dunia nzima kwa ujumla?
Watu hawataamini maana huko waliko wao wanataka tupigane marisasi watucheke! Tuvurugane watukebehi! Tushenyetane wao waje wazoe marasilimali yetu
Tuukwepe huu mtego kwa kuunda serikali ya mseto ambayo itatuletea katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki huko mbeleni. Vingenevyo hii hali itakuwa ya kujirudia rudia
Sisi tunataka mabadiriko ya haki na sio kuwaingiza kina lisu kwenye ulajiKwa mfano, nasema kwa mfano!

Hayo mabadiliko yanafanywa na watu, hao watu ni kina nani?Sisi tunataka mabadiriko ya haki na sio kuwaingiza kina lisu kwenye ulaji