Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Mbunge wa CDM, Mh John Shibuda, amesema yeye ni sawa na nyambizi na kamwe hakuna wa kumtoa CDM, amedai CDM ni mali ya watanzania walio wanachama wa CDM na kamwe wanachama wa chama hicho hawatakubali chama hicho kuendeshwa kibabe na kihafidhina na viongozi wachache wanataka kuhodhi madaraka kwa nguvu.
Source: Raia Tanzania
ha ha ha kigogo zee halina meno lile tunapenda likitufurahisha kwa comments zake za ki ze comedyhili zee bana..sijui hata tuliliokota wapi?
Umemwita nani, kweli wazazi wako wamepata hasala kukuzaa wewe.mbwa huyo 2015 arrest in peace
Slaa anakadi ya ccm naye ni pandikizi au kwake haina shida kwa vile na yeye ni wa kulele?Hili ni pandikizi la CCM ila limeshtukiwa lina weweseka
Hili zee ni Kama joka la kibisa halina madhara CDM
Slaa anakadi ya ccm naye ni pandikizi au kwake haina shida kwa vile na yeye ni wa kulele?
kama angelikuwa anatishia uwenyekiti wa mbowe asingekuwepo mbaka sasa