Shibuda alishindikana ndani ya CCM, chama ambacho kina takataka zote, mpaka wauza madawa ya kulevya, majangili wa pembe za ndovu, n.k. sidhani kuna mahali anaweza kukubalika. CHADEMA ilifanya kosa kubwa sana kumkubalia huyu nyang'au.
Shibuda amesema hatagombea kupitia CHADEMA. CHADEMA wanachotakiwa kufanya ni kumfukuza. Mlafi adhabu imfaayo ni kumnyima chakula.