Shibuda ajichimbia kaburi lake


bila shaka wewe ni Nape mosses nyauye,coz the same words uliwahi toa mahala fulani.bana eee wewe hamia airtel unapoteza mda huko uliko
 

Nisome tena vizuri mie siku zote nakuwa Against na Chadema-Kata JF.

Watu wangu wa karibu na marafiki zangu ni Chadema- Great Thinkers JF...wewe sijui upo kundi gani?
 
kwa mtu mwenye akili timamu kukaa kalibu na shibuta ni kujitakia ugonjwa wa moyo,:eyebrows: huyo jamaa huwa hanaga ustaarabu hata kidogo.kwa hiyo kumtenga ni sawa kabisa mbona hata magamba walimtenga.kutengwa na jamii inayo mzunguka ni sehemu ya maisha ya shibuda hakuna jipya hapo yeye kwake ni poa.:embarassed2:😛hoto::hat::A S 465::rant::nerd:
 
Mods, wameishachakachua thread yangu haya bana ngoja nijitoe waendelee kuchangia wengine.
 
Nisome tena vizuri mie siku zote nakuwa Against na Chadema-Kata JF.

Watu wangu wa karibu na marafiki zangu ni Chadema- Great Thinkers JF...wewe sijui upo kundi gani?
Una uhakika na hiki ulichokiandika!!?? na kama nikiweka bandiko lako hapa uliloongea maneno hayo unawaahidi nini wana JF kwa kuudanganya umma!!?? kumbuka ni jana tu ulileta ubishi wa kipuuzi kuhusu habari ya gazeti la mwananchi la jana na ndio maana leo nataka ahadi yako kabla sijakuwekea bandiko lako wewe mwenyewe ukimwambia Mkandara maneno hayo.
Mimi huwa sipendi stupidity Arguments.
 
Kosa kubwa la Shibuda ndani ya Chadema ni msimamo wake kukataa kumsusia Rais Kikwete wakati alilizindua bunge la sasa mjini Dodoma. Na sakata la posho.

Ritz; Punguza Bange!
Mada umeanzisha wewe "Kwa nini John Shibuda hana tena thamani ndani ya Chadema" Hapo umejipa jibu mwenyewe
 

Ritz bado utaendelea kukwama tu na hoja zako za uchochezi. Unajifanya unaipenda sana chadema mpaka unatoa ushauri. Kawashauri magamba jinsi ya kumtumia Lowasa.
 
Mods, wameishachakachua thread yangu haya bana ngoja nijitoe waendelee kuchangia wengine.
Pole Mkuu thread yako imeunganishwa na thread ya miezi 8 iliyopita!
 
wamuweke kando2, lakini huyu ndo atakayewaumiza 2015 , kama wanamtenga akija kuwaponyoka atamwaga chechehizo watajuta. Anajuwa propaganda ni mtu wa kuchunga sana akiamua kubomoa anabomoa hasa huyu.
 
He is Sowing a seed of his own destruction, kazi ipo!
 

Ficha upumbavu wako Source:Ivizibo..

JF sio mali ya Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…