hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Apr 15, 2015 #1 Ukiuluza saa lazima upigwe unatakakukimbia na wakikukuta umeegemea ukuta wanasema unataka kubomoa ukuta ukimbie
Ukiuluza saa lazima upigwe unatakakukimbia na wakikukuta umeegemea ukuta wanasema unataka kubomoa ukuta ukimbie
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Apr 15, 2015 Thread starter #2 Wakikukuta unaangalia juu ya bati wanasema unataka kutoboa bati ukimbie
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Apr 15, 2015 Thread starter #3 Na kama mnalima ukibaki nyuma unapigwa kiboko unategea ukienda mbele unapigwa kiboko unataka kukimbia wote inatakiwa muwe mstali mmoja
Na kama mnalima ukibaki nyuma unapigwa kiboko unategea ukienda mbele unapigwa kiboko unataka kukimbia wote inatakiwa muwe mstali mmoja
Mkudisingo JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 421 Reaction score 123 Apr 15, 2015 #4 ha ha ha ha ha aaaaaa
subadesubking Senior Member Joined Jan 17, 2015 Posts 196 Reaction score 327 Apr 16, 2015 #6 Hamruhusiwi kuwa wawili au namba inayogawanyika kwa mbili,lazima muwe watatu au watano
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,915 Reaction score 30,027 Apr 16, 2015 #7 subadesubking said: Hamruhusiwi kuwa wawili au namba inayogawanyika kwa mbili,lazima muwe watatu au watano Click to expand... Kwann mkuu. Na naskia ukiingia kule lazma unenepe
subadesubking said: Hamruhusiwi kuwa wawili au namba inayogawanyika kwa mbili,lazima muwe watatu au watano Click to expand... Kwann mkuu. Na naskia ukiingia kule lazma unenepe
subadesubking Senior Member Joined Jan 17, 2015 Posts 196 Reaction score 327 Apr 16, 2015 #8 Wanadai mkiwa wawili ni rahisi kushauriana kutoroka bila kuwepo atakayepinga ila mkiwa watatu au watano wanaamini kuna mmoja atapinga. Kuhusu kunenepa aisee sijui ujue jela ni milo miwili kwa siku
Wanadai mkiwa wawili ni rahisi kushauriana kutoroka bila kuwepo atakayepinga ila mkiwa watatu au watano wanaamini kuna mmoja atapinga. Kuhusu kunenepa aisee sijui ujue jela ni milo miwili kwa siku
I inuka uangaze Member Joined Mar 13, 2015 Posts 53 Reaction score 11 Apr 16, 2015 #9 nasikia mume na make ni jinsia moja unaweza kuwapita ukijua ni masela kumbe ni Mr na Mrs.
A ahlusunna Member Joined Oct 26, 2014 Posts 37 Reaction score 5 Apr 16, 2015 #10 sheria ni nyingi lakini NA PIA UGALI NI MTAMU LAKINI SI WA JELA
hazole1 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2015 Posts 4,319 Reaction score 3,919 Apr 18, 2015 Thread starter #11 Bwana jela akikuita ukiitika namu lazima upigwe halafu anakuuliza unaitika namu mimi baba yako inatakiwa uitike ndio mkuu
Bwana jela akikuita ukiitika namu lazima upigwe halafu anakuuliza unaitika namu mimi baba yako inatakiwa uitike ndio mkuu