Sheria za ajabu duniani

Mnapigiwa Horn lakini bado mnagongwa Kila siku,msipopigiwa Horn si mtafanya nchi yote inuke damu
Mizizi, sio kwamba zisiwepo kabisa, lakini kwetu imekuwa ni vurugu mno utakuta jamaa anakimbiza boda kwa speed Kali huku kashika button ya horn bila sababu yoyote, hawajali hospital hawajali chochote, ni tatizo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nasikia pia Brazil ni ruhusa mume kumpeleka mke kunyanduliwa sehemu maalumu Kwa ajili hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…