Wadau sheria ya kufanya mabadiliko mchezoni-(soka) ikoje,say mchezaji akitoka anaweza kuruhusiwa kurudi tena kama mcheza wa sub kuchukua nafasi a mwingine?etc.....
Mchezaji akishatoka haruhusiwi kurudi, basketball ndo anaweza kurudi lakini sio football, ukishatoka ndo basi subiri mechi nyingine.
Mchezaji akishatoka haruhusiwi kurudi, basketball ndo anaweza kurudi lakini sio football, ukishatoka ndo basi subiri mechi nyingine.
Kwa mechi za mashindano ukilongwa ukawaingiza wote watatu kwa mpingo na ikitokea mwingine kaumia hawezi kuendelea ndo imekula kwako ndo maana ni makocha wachache sana wanaomaliza sub zote tatu muda uliobaki ukiwa zaidi ya dakika 15, kama umefuatilia sub ya mwisho huwa ni dakika 15 au 10 za mwisho labda kama kulikuwa na sub za lazima kama kipa kalimwa red au beki kalimwa red au mchezaji kaumia mapema au ulikuwa unajaribu kikosi ukajikuta ulichopanga kumbe ni kimeo.Na ikitokea umeshamaliza sub,na mchezaji mmoja akaumia vibaya kiasi cha kutoendelea say dk ya 30 hawezi pata upendeleo kwa sub nyingine?
Na ikitokea umeshamaliza sub,na mchezaji mmoja akaumia vibaya kiasi cha kutoendelea say dk ya 30 hawezi pata upendeleo kwa sub nyingine?
spot on mate..........Kwa mechi za mashindano ukilongwa ukawaingiza wote watatu kwa mpingo na ikitokea mwingine kaumia hawezi kuendelea ndo imekula kwako ndo maana ni makocha wachache sana wanaomaliza sub zote tatu muda uliobaki ukiwa zaidi ya dakika 15, kama umefuatilia sub ya mwisho huwa ni dakika 15 au 10 za mwisho labda kama kulikuwa na sub za lazima kama kipa kalimwa red au beki kalimwa red au mchezaji kaumia mapema au ulikuwa unajaribu kikosi ukajikuta ulichopanga kumbe ni kimeo.
Na ndo maana ukifuatilia vizuri wanaruhusu timu kucheza ikiwa na wachezaji hadi saba chini ya hapo mechi inaahirishwa, na hawajasema hao wanne wasiwepo kwa sababu gani inaweza kuwa ni kadi au majeruhi.
Dah! Najuta kwa nini uwa najibu posts zako!
Mtu mwenyewe kumbe ni bonge la kiazi linapokuja suala la soka. Kutwa kupiga kelele kwenye thread ya Man United, kumbe hujui hata basic rules of the game?!?
Pheeeewwww!!
Dah! Najuta kwa nini uwa najibu posts zako!
Mtu mwenyewe kumbe ni bonge la kiazi linapokuja suala la soka. Kutwa kupiga kelele kwenye thread ya Man United, kumbe hujui hata basic rules of the game?!?
Pheeeewwww!!
Kwa mimi ninavyo jua sub mwisho ni nne, ingawa imezoweleka tatu, hiyo moja ni special kwa golikipa
Sawa bwana Nzi..........Acha kudanganya watu wewe...labda kama hiyo sheria ni ya American football!!
Kwenye sheria 17 za soka zilizotengenezwa na FIFA, sheria namba 3 inaongelea idadi za wachezaji na masuala ya subs...
Number of Players
A match is played by two teams, each consisting of not more than eleven players, one of whom is the goalkeeper. A match may not start if either team consists of fewer than seven players.
Number of substitutions
Official competitions
Up to a maximum of three substitutes may be used in any match played in an official competition organised under the auspices of FIFA, the confederations or the member associations.
The rules of the competition must state how many substitutes may be nominated, from three up to a maximum of seven.
Other matches
In national A team matches, up to a maximum of six substitutes may be used.
In all other matches, a greater number of substitutes may be used provided that:
the teams concerned reach agreement on a maximum number
the referee is informed before the match
If the referee is not informed, or if no agreement is reached before the match, no more than six substitutes are allowed.
Soma hapa:
http://global-4-lvs-hopper.opera-mi...fa.com/118486072/lawsofthegame_2011_12_en.pdf